🎓 Pre-Form One Program inaanza tarehe 16 Septemba hadi Desemba 2026 - Tsh. 200,000 tu. Karibuni! 📝 Usaili wa Kidato cha Kwanza - kila siku kuanzia tarehe 15 Septemba, Shuleni Tumaini Jema. Fomu Tsh. 15,000, zinapatikana Msimbazi Centre Chumba Na. 12 & 19, na Shuleni. 📞 Wasiliana nasi: 0755 472 721 / 0759 106 442
Back to News
AdmissionsAugust 23, 2026

Tangazo: Pre-Form One Program na Usaili wa Kidato cha Kwanza 2026

TANGAZO

Tutaanza Pre - Form One Program kuanzia tarehe 16 Septemba mpaka Desemba 2026 kwa Gharama ya Tsh. 200,000 tu. Karibuni!

Usaili wa Kidato cha Kwanza

Usaili wa Kidato cha kwanza utafanyika kila siku kuanzia tarehe 15 Septemba Shuleni Tumaini Jema.

Fomu zinapatikana:

  • Msimbazi Centre - Chumba Na. 12 na 19
  • Shuleni Tumaini Jema

Gharama ya fomu ni Tsh. 15,000. Karibuni!

Wasiliana Nasi

  • 📞 0755 472 721
  • 📞 0759 106 442
Category:Admissions